Judges 6:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mataifa hayo yaliweka kambi nchini, yakawashambulia na kuharibu mazao yote nchini hadi mpakani mwa Gaza, wasiwaachie Waisraeli chochote, awe kondoo, ng'ombe au punda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakapiga kambi katika mashamba yao na kuharibu mazao ya nchi yote hadi kufikia Gaza, wala hawakuacha kiumbe chochote kilicho hai kwa Waisraeli, iwe kondoo au ng’ombe au punda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakapanga marago juu yao, na kuyaharibu hayo maongeo ya nchi, hata ufikapo Gaza, wala hawakuacha katika Israeli riziki ziwazo zote; kondoo, wala ng'ombe, wala punda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mataifa hayo yaliweka kambi nchini, yakawashambulia na kuharibu mazao yote nchini hadi mpakani mwa Gaza, wasiwaachie Waisraeli chochote, awe kondoo, ng'ombe au punda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakapiga kambi katika mashamba yao na kuharibu mazao ya nchi yote hadi kufikia Gaza, wala hawakuacha kiumbe cho chote kilicho hai kwa Waisraeli, iwe kondoo au ng'ombe au punda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakapiga kambi katika mashamba yao na kuharibu mazao ya nchi yote hadi kufikia Gaza, wala hawakuacha kiumbe chochote kilicho hai kwa Waisraeli, iwe kondoo au ng’ombe au punda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakapiga kambi juu yao, na kuyaharibu hayo mavuno ya nchi, hadi kufika Gaza, wala hawakuacha katika Israeli riziki yoyote; kondoo, wala ng'ombe, wala punda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mataifa hayo yaliweka kambi nchini, yakawashambulia na kuharibu mazao yote nchini hadi mpakani mwa Gaza, wasiwaachie Waisraeli chochote, awe kondoo, ng'ombe au punda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakapiga makambi kwao, wakayaharibu yote yaliyozaliwa mashambani, mpaka kufika Gaza, hawakusaza kwao Waisiraeli hata nyama mmoja, wala kondoo, wala ng'ombe, wala punda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakapanga marago juu yao, na kuyaharibu hayo maongeo ya nchi, hata ufikapo Gaza, wala hawakuacha katika Israeli riziki ziwazo zote; kondoo, wala ng’ombe, wala punda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mataifa hayo yaliweka kambi katika inchi, yakawashambulia na kuharibu mazao yote ya inchi hata kwenye mupaka wa Gaza, hawakuwaachia Waisraeli chochote, ikuwe kondoo, ngombe au punda.