Judges 6:40 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu akafanya hivyo usiku huo, maana, juu ya ngozi kulikuwa kukavu na kwenye sakafu kulikuwa na umande.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiku ule Mungu akafanya hivyo. Manyoya yakawa kavu, na ardhi yote ikafunikwa na umande.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu akafanya hivyo usiku ule; maana ile ngozi tu ilikuwa kavu, napo palikuwa na umande juu ya nchi yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu akafanya hivyo usiku huo, maana, juu ya ngozi kulikuwa kukavu na kwenye sakafu kulikuwa na umande.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiku ule Mungu akafanya hivyo. Ngozi ile ilikuwa kavu, nayo ardhi yote ikafunikwa na umande.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiku ule Mungu akafanya hivyo. Ngozi ile ilikuwa kavu, nayo ardhi yote ikafunikwa na umande.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu akafanya hivyo usiku ule; maana ile ngozi tu ilikuwa kavu, napo palikuwa na umande juu ya nchi yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu akafanya hivyo usiku huo, maana, juu ya ngozi kulikuwa kukavu na kwenye sakafu kulikuwa na umande.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu akafanya hivyo usiku huo, ngozi ikawa kavu peke yake, lakini nchi yote ikawa yenye umande.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu akafanya hivyo usiku ule; maana ile ngozi tu ilikuwa kavu, napo palikuwa na umande juu ya nchi yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu akafanya hivyo usiku ule, maana juu ya ngozi kulikuwa kukavu na kwenye udongo kulikuwa umande.