Judges 6:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli walidhoofishwa sana na Wamidiani hata wakamlilia Mwenyezi-Mungu awasaidie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wamidiani wakaifanya Israeli kuwa maskini sana, hata Waisraeli wakamlilia Mwenyezi Mungu kumwomba msaada.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Israeli walitwezwa sana kwa sababu ya Wamidiani; nao wana wa Israeli wakamlilia Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli walidhoofishwa sana na Wamidiani hata wakamlilia Mwenyezi-Mungu awasaidie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli wakafanywa kuwa maskini sana na Wamidiani, hata Israeli wakamlilia BWANA kuomba msaada.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli wakafanywa kuwa maskini sana na Wamidiani, hata Israeli wakamlilia bwana kuomba msaada.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Israeli walitwezwa sana kwa sababu ya Wamidiani; nao wana wa Israeli wakamlilia BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli walidhoofishwa sana na Wamidiani hata wakamlilia Mwenyezi-Mungu awasaidie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waisiraeli walipopondeka sana kwa ajili ya Wamidiani, wakamlilia Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Israeli walitwezwa sana kwa sababu ya Wamidiani; nao wana wa Israeli wakamlilia BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli wakafanywa kuwa wamasikini sana na Wamidiani hata wakamulilia Yawe awasaidie.