Judges 6:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli walipomlilia Mwenyezi-Mungu awaondolee taabu walizopata kwa Wamidiani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli walipomlilia Mwenyezi Mungu kwa sababu ya Wamidiani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha ikawa, hapo wana wa Israeli walipomlilia Bwana kwa sababu ya Midiani,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli walipomlilia Mwenyezi-Mungu awaondolee taabu walizopata kwa Wamidiani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli walipomlilia BWANA kwa sababu ya Wamidiani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli walipomlilia bwana kwa sababu ya Wamidiani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha ikawa, hapo wana wa Israeli walipomlilia BWANA kwa sababu ya Midiani,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli walipomlilia Mwenyezi-Mungu awaondolee taabu walizopata kwa Wamidiani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, wana wa Isiraeli walipomlilia Bwana kwa ajili ya Wamidiani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha ikawa, hapo wana wa Israeli walipomlilia BWANA kwa sababu ya Midiani,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli walipomulilia Yawe awaondolee taabu walizopata kwa Wamidiani,