Judges 6:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nikawakomboa mikononi mwa Wamisri wote waliowakandamiza. Nikawafukuza watu mbele yenu na kuwapa nyinyi nchi yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikawaokoa kutoka mikononi mwa Wamisri na kutoka mikononi mwa watesi wenu wote. Nikawafukuza watoke mbele yenu, nami nikawapa ninyi nchi yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami niliwaokoa na mikono ya Wamisri, na mikono ya wote waliokuwa wakiwaonea, nami niliwafukuza watoke mbele zenu, nami niliwapa ninyi nchi yao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nikawakomboa mikononi mwa Wamisri wote waliowakandamiza. Nikawafukuza watu mbele yenu na kuwapa nyinyi nchi yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikawanyakua kutoka mikononi mwa Wamisri na kutoka mikononi mwa watesi wenu wote. Nikawafukuza watoke mbele yenu nami nikawapa ninyi nchi yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikawanyakua kutoka mikononi mwa Wamisri na kutoka mikononi mwa watesi wenu wote. Nikawafukuza watoke mbele yenu nami nikawapa ninyi nchi yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami niliwaokoa na mikono ya Wamisri, na mikono ya wote waliokuwa wakiwaonea, nami niliwafukuza watoke mbele yenu, nami niliwapa ninyi nchi yao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nikawakomboa mikononi mwa Wamisri wote waliowakandamiza. Nikawafukuza watu mbele yenu na kuwapa nyinyi nchi yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikawaponya mikononi mwa Wamisri namo mikononi mwao wote waliowatesa, nikiwafukuza mbele yenu, kisha nikawapa nchi yao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami niliwaokoa na mikono ya Wamisri, na mikono ya wote waliokuwa wakiwaonea, nami niliwafukuza watoke mbele zenu, nami niliwapa ninyi nchi yao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nikawakomboa toka katika mikono ya Wamisri wote waliowagandamiza. Nikawafukuza watu mbele yenu na kuwapa ninyi inchi yao.