Judges 7:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kama unaogopa, nenda pamoja na mtumishi wako Pura.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama unaogopa kushambulia, shuka kambini pamoja na mtumishi wako Pura,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini, ukiogopa kushuka, shuka pamoja na Pura mtumishi wako kambini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kama unaogopa, nenda pamoja na mtumishi wako Pura.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama unaogopa kushambulia, shuka kambini pamoja na mtumishi wako Pura,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama unaogopa kushambulia, shuka kambini pamoja na mtumishi wako Pura,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini, ukiogopa kushuka, shuka pamoja na Pura mtumishi wako kambini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kama unaogopa, nenda pamoja na mtumishi wako Pura.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kama unaogopa kushuka, shuka wewe tu na kijana wako Pura, mfike kwenye makambi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini, ukiogopa kushuka, shuka pamoja na Pura mtumishi wako kambini;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama unaogopa, kwenda pamoja na mutumishi wako Pura.