Judges 7:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Gideoni aliposikia masimulizi hayo ya ndoto na tafsiri yake, alimwabudu Mungu. Kisha alirudi kwenye kambi ya Waisraeli, akasema, “Amkeni twende; maana Mwenyezi-Mungu amelitia jeshi la Wamidiani mikononi mwenu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Gideoni alipoisikia hiyo ndoto na tafsiri yake, akasujudu na kuabudu. Akarudi kwenye kambi ya Israeli na kusema, “Inukeni! Mwenyezi Mungu amelitia jeshi la Wamidiani mikononi mwenu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, aliposikia habari ya ile ndoto, na kufasiriwa kwake, akasujudu; akarudi katika jeshi la Israeli akasema, Inukeni, kwa maana Bwana amelitia jeshi la Midiani mikononi mwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Gideoni aliposikia masimulizi hayo ya ndoto na tafsiri yake, alimwabudu Mungu. Kisha alirudi kwenye kambi ya Waisraeli, akasema, “Amkeni twende; maana Mwenyezi-Mungu amelitia jeshi la Wamidiani mikononi mwenu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Gideoni alipoisikia hiyo ndoto na tafsiri yake, akamwabudu Mungu. Akarudi kwenye kambi ya Israeli na kusema, “Inukeni! BWANA amelitia jeshi la Wamidiani mikononi mwenu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Gideoni alipoisikia hiyo ndoto na tafsiri yake, akamwabudu Mungu. Akarudi kwenye kambi ya Israeli na kusema, “Inukeni! bwana amelitia jeshi la Wamidiani mikononi mwenu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, aliposikia habari za ile ndoto, na kufasiriwa kwake, akasujudu; akarudi katika jeshi la Israeli akasema, Inukeni, kwa maana BWANA amelitia jeshi la Midiani mikononi mwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Gideoni aliposikia masimulizi hayo ya ndoto na tafsiri yake, alimwabudu Mungu. Kisha alirudi kwenye kambi ya Waisraeli, akasema, “Amkeni twende; maana Mwenyezi-Mungu amelitia jeshi la Wamidiani mikononi mwenu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, Gideoni aliposikia, hiyo ndoto ilivyosimuliwa, tena ilivyofumbuliwa maana, akamwangukia Mungu, kisha akarudi makambini kwa Waisiraeli, akawaambia; Inukeni! Kwani Bwana ameyatia makambi ya Wamidiani mikononi mwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, aliposikia habari ya ile ndoto, na kufasiriwa kwake, akasujudu; akarudi katika jeshi la Israeli akasema, Inukeni, kwa maana BWANA amelitia jeshi la Midiani mikononi mwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Gideoni aliposikia masimulizi hayo ya ndoto na mafasirio yake, akamwabudu Mungu. Kisha akarudi kwenye kambi ya Waisraeli, akasema: “Musimame tuende, maana Yawe amelitia jeshi la Wamidiani katika mikono yenu.”