Judges 7:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi akawagawa wale watu 300 katika makundi matatu, akawapa tarumbeta na magudulia yenye mienge.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawagawa wale watu mia tatu katika makundi matatu, akawakabidhi tarumbeta mikononi mwao wote, na mitungi mitupu, na mienge ikawekwa ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akawapanga wale watu mia tatu wawe vikosi vitatu, akatia tarumbeta katika mikono ya watu wote, na mitungi isiyo maji, na mienge ndani ya hiyo mitungi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi akawagawa wale watu 300 katika makundi matatu, akawapa tarumbeta na magudulia yenye mienge.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawagawa wale watu 300 katika makundi matatu, akawakabidhi tarumbeta mikononi mwao wote na mitungi isiyokuwa na maji yenye mienge ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawagawa wale watu 300 katika makundi matatu, akawakabidhi tarumbeta mikononi mwao wote na mitungi isiyokuwa na maji yenye mienge ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akawapanga wale watu mia tatu wawe vikosi vitatu, akatia tarumbeta katika mikono ya watu wote, na mitungi isiyo na maji, na mienge ndani ya hiyo mitungi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi akawagawa wale watu 300 katika makundi matatu, akawapa tarumbeta na magudulia yenye mienge.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akawagawanya wale watu 300 kuwa vikosi vitatu, akawapa kila mtu mkononi mwake baragumu na chungu kitupu kilichomo na mienge ya moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akawapanga wale watu mia tatu wawe vikosi vitatu, akatia tarumbeta katika mikono ya watu wote, na mitungi isiyo maji, na mienge ndani ya hiyo mitungi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi akawagawanya wale watu mia tatu katika makundi matatu, akawapa baragumu na mitungi yenye mienge.