Judges 7:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akawaambia, “Mniangalie na kufanya sawa kama nitakavyofanya wakati nitakapofika kambini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawaambia, “Nitazameni, fanyeni kama nitakavyofanya. Nitakapofika mwisho wa kambi, mfanye kama nitakavyofanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Nitazameni, mkafanye kama nifanyavyo mimi; angalieni, nitakapofika mwisho wa kambi, itakuwa, nifanyavyo mimi nanyi fanyeni kadhalika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akawaambia, “Mniangalie na kufanya sawa kama nitakavyofanya wakati nitakapofika kambini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaambia, “Nitazameni, fanyeni kama nitakavyofanya, nitakapofika mwisho wa kambi mfanye kama nitakavyofanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawaambia, “Nitazameni, fanyeni kama nitakavyofanya, nitakapofika mwisho wa kambi mfanye kama nitakavyofanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, Nitazameni, mkafanye kama nifanyavyo mimi; angalieni, nitakapofika mwisho wa kambi, itakuwa, nifanyavyo mimi nanyi fanyeni vivyo hivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akawaambia, “Mniangalie na kufanya sawa kama nitakavyofanya wakati nitakapofika kambini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaambia: Mtakayoyaona kwangu mtayafanya nanyi. Mtakaponiona, ya kuwa nimefika pembeni kwenye makambi, ndipo mfanye sawasawa, kama mimi nitakavyofanya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Nitazameni, mkafanye kama nifanyavyo mimi; angalieni, nitakapofika mwisho wa kambi, itakuwa, nifanyavyo mimi nanyi fanyeni kadhalika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akawaambia: “Muniangalie na kufanya sawa vile nitakavyofanya wakati nitakapofika katika kambi.