Judges 7:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli wa kabila la Naftali, Asheri, na Manase, wote waliitwa, wakawafuatia Wamidiani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaume Waisraeli wakaitwa kutoka Naftali, Asheri na Manase yote, nao wakawafuatia Wamidiani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanaume wa Israeli walikuwa wamekusanyika kutoka Naftali, na kutoka Asheri, na kutoka Manase yote, wakawafuata Midiani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli wa kabila la Naftali, Asheri, na Manase, wote waliitwa, wakawafuatia Wamidiani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wa Israeli wakaitwa kutoka Naftali, Asheri na Manase, wakawafuatia Wamidiani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wa Israeli wakaitwa kutoka Naftali, Asheri na Manase, wakawafuatia Wamidiani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanaume wa Israeli walikuwa wamekusanyika kutoka Naftali, na kutoka Asheri, na kutoka Manase yote, wakawafuata Midiani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli wa kabila la Naftali, Asheri, na Manase, wote waliitwa, wakawafuatia Wamidiani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Waisiraeli wakaitwa katika nchi za Nafutali na za Aseri na za Manase pia, wakawakimbiza Wamidiani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanaume wa Israeli walikuwa wamekusanyika kutoka Naftali, na kutoka Asheri, na kutoka Manase yote, wakawafuata Midiani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli wa kabila la Nafutali, Aseri, na Manase, wote waliitwa, wakawafuatilia Wamidiani.