Judges 7:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa watangazie watu wote kwamba mtu yeyote aliye mwoga au anayetetemeka arudi nyumbani kwake.” Basi, Gideoni aliwajaribu, na watu 22,000 wakarudi nyumbani akabaki na watu 10,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo sasa tangaza jeshi lote likiwa linasikia, kwamba: ‘Yeyote anayeogopa na kutetemeka, yeye na arudi nyumbani, aondoke katika Mlima Gileadi.’ ” Hivyo, watu elfu ishirini na mbili wakarudi nyumbani, wakabaki elfu kumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa enda, tangaza habari masikioni mwa watu hawa, na kusema, Mtu awaye yote anayeogopa na kutetemeka, na arudi aondoke katika mlima wa Gileadi. Ndipo watu ishirini na mbili elfu wakarudi katika watu hao, wakabaki watu elfu kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa watangazie watu wote kwamba mtu yeyote aliye mwoga au anayetetemeka arudi nyumbani kwake.” Basi, Gideoni aliwajaribu, na watu 22,000 wakarudi nyumbani akabaki na watu 10,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa hiyo sasa tangaza jeshi lote likiwa linasikia, kwamba: Ye yote anayeogopa na kutetemeka, yeye na arudi nyumbani, aondoke katika Mlima Gileadi.’ ” Hivyo watu 22,000 walirudi, wakabaki 10,000.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa hiyo sasa tangaza jeshi lote likiwa linasikia, kwamba: Yeyote anayeogopa na kutetemeka, yeye na arudi nyumbani, aondoke katika Mlima Gileadi.’ ” Hivyo watu 22,000 walirudi, wakabaki 10,000.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa nenda, tangaza habari masikioni mwa watu hawa, na kusema, Mtu yeyote anayeogopa na kutetemeka, na arudi aondoke katika mlima wa Gileadi. Ndipo watu elfu ishirini na mbili wakarudi katika watu hao, wakabaki watu elfu kumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa watangazie watu wote kwamba mtu yeyote aliye mwoga au anayetetemeka arudi nyumbani kwake.” Basi, Gideoni aliwajaribu, na watu 22,000 wakarudi nyumbani akabaki na watu 10,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa tangaza masikioni mwa watu kwamba: Aogopaye kwa kuwa mwenye moyo mdogo na arudi na kuondoka kilimani kwa Gileadi! Ndipo, waliporudi watu 22000, wakasalia 10000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa enda, tangaza habari masikioni mwa watu hawa, na kusema, Mtu awaye yote anayeogopa na kutetemeka, na arudi aondoke katika mlima wa Gileadi. Ndipo watu ishirini na mbili elfu wakarudi katika watu hao, wakabaki watu elfu kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa uwatangazie watu wote kwamba mutu yeyote anayekuwa mwoga au anayetetemeka arudi kwake.” Basi, Gideoni akawajaribu, na watu elfu makumi mbili na mbili wakarudi kwao, akabaki na watu elfu kumi.