Judges 7:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiku huo, Mwenyezi-Mungu akamwambia Gideoni, “Nenda ukawashambulie kambini mwao, maana nimewatia mikononi mwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiku ule ule Mwenyezi Mungu akamwambia Gideoni, “Ondoka, ushuke ushambulie kambi, kwa kuwa nimeitia mkononi mwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa usiku uo huo Bwana akamwambia, Ondoka, shuka kambini; maana nimeitia katika mikono yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiku huo, Mwenyezi-Mungu akamwambia Gideoni, “Nenda ukawashambulie kambini mwao, maana nimewatia mikononi mwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiku ule ule BWANA akamwambia Gideoni, “Ondoka, ushuke kambini, kwa kuwa nimeitia mkononi mwako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiku ule ule bwana akamwambia Gideoni, “Ondoka, ushuke kambini, kwa kuwa nimeitia mkononi mwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa usiku huo huo BWANA akamwambia, Ondoka, shuka kambini; maana nimeitia katika mikono yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiku huo, Mwenyezi-Mungu akamwambia Gideoni, “Nenda ukawashambulie kambini mwao, maana nimewatia mikononi mwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiku huo Bwana akamwambia: Inuka, ushuke kufika kwenye makambi! Kwani nimewatia mikononi mwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa usiku uo huo BWANA akamwambia, Ondoka, shuka kambini; maana nimeitia katika mikono yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiku ule, Yawe akamwambia Gideoni: “Kwenda uwashambulie katika kambi yao, maana nimewatia katika mikono yako.