Judges 8:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Gideoni akafuata njia ya magharibi iliyo mashariki mwa Noba na Yogbeha, akalishambulia jeshi hilo ambalo halikuwa tayari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Gideoni akakwea kwa njia ya wafugaji wahamaji mashariki mwa Noba na Yogbeha, na kulishambulia jeshi ambalo halikushuku lolote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Gideoni alikwea kwa njia ya hao waliokuwa wenye kukaa hemani upande wa mashariki wa Noba na Yogbeha, akalipiga hilo jeshi; kwa maana lile jeshi lilikuwa salama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Gideoni akafuata njia ya magharibi iliyo mashariki mwa Noba na Yogbeha, akalishambulia jeshi hilo ambalo halikuwa tayari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Gideoni akakwea kwa njia ya wasafiri mashariki ya Noba na Yogbeha na kulishambulia jeshi bila lenyewe kushuku lo lote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Gideoni akakwea kwa njia ya wasafiri mashariki ya Noba na Yogbeha na kulishambulia jeshi ambalo halikushuku lolote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Gideoni alikwea kwa njia iliyotumiwa na misafara, ambayo ilikuwa mashariki mwa Noba na Yogbeha, akalishambulia hilo jeshi; kwa maana lile jeshi halikuwa na hadhari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Gideoni akafuata njia ya magharibi iliyo mashariki mwa Noba na Yogbeha, akalishambulia jeshi hilo ambalo halikuwa tayari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Gideoni akashika njia yao wanaosafiri na kukaa mahemani iliyopita Noba na Yogibeha upande wa Maawioni kwa jua, akayapiga yale majeshi, kwani majeshi hayo yalikuwa yakitulia tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Gideoni alikwea kwa njia ya hao waliokuwa wenye kukaa hemani upande wa mashariki wa Noba na Yogbeha, akalipiga hilo jeshi; kwa maana lile jeshi lilikuwa salama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Gideoni akafuata njia ya upande wa magaribi inayokuwa upande wa mashariki wa Noba na Yogibeha, akalishambulia jeshi hilo ambalo halikukuwa tayari.