Judges 8:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafalme wa Midiani, Zeba na Salmuna walitoroka wakakimbia, lakini Gideoni aliwafuatia, akawakamata na kulitia jeshi lote hofu kubwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zeba na Salmuna, hao wafalme wawili wa Midiani, wakakimbia lakini yeye Gideoni akawafuata na kuwakamata, akalishinda hilo jeshi lao lote kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zeba na Salmuna walikimbia; naye akawaandamia; akawakamata hao wafalme wawili wa Midiani Zeba na Salmuna, akalitapanya-tapanya hilo jeshi lote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafalme wa Midiani, Zeba na Salmuna walitoroka wakakimbia, lakini Gideoni aliwafuatia, akawakamata na kulitia jeshi lote hofu kubwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zeba na Salmuna, hao wafalme wawili wa Midiani, wakakimbia lakini yeye Gideoni akawafuatia na kuwakamata, akalishinda hilo jeshi lao lote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zeba na Salmuna, hao wafalme wawili wa Midiani, wakakimbia lakini yeye Gideoni akawafuata na kuwakamata, akalishinda hilo jeshi lao lote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Zeba na Salmuna walikimbia; naye akawafuatilia; akawakamata hao wafalme wawili wa Midiani Zeba na Salmuna, akalitapanyatapanya hilo jeshi lote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafalme wa Midiani, Zeba na Salmuna walitoroka wakakimbia, lakini Gideoni aliwafuatia, akawakamata na kulitia jeshi lote hofu kubwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Zeba na Salmuna walipokimbia, lakini akawafuata mbiombio, akawakamata hawa wafalme wawili wa Midiani, Zeba na Salmuna, nayo majeshi yote akayatapanya kwa kuyastusha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zeba na Salmuna walikimbia; naye akawaandamia; akawakamata hao wafalme wawili wa Midiani Zeba na Salmuna, akalitapanya-tapanya hilo jeshi lote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sadaka na Kivuli, wafalme wa Midiani, walitoroka wakakimbia, lakini Gideoni akawafuatilia, akawakamata na kulitia jeshi lote hofu kubwa.