Judges 8:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, Gideoni, mwana wa Yoashi, akarudi kutoka vitani akipitia kwenye mteremko wa Heresi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Gideoni mwana wa Yoashi akarudi kutoka vitani kupitia Mwinuko wa Heresi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha huyo Gideoni mwana wa Yoashi akarudi kutoka vitani, kutoka kwenye makweleo ya Heresi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, Gideoni, mwana wa Yoashi, akarudi kutoka vitani akipitia kwenye mteremko wa Heresi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Gideoni mwana wa Yoashi akarudi kutoka vitani kwa kupitia Mwinuko wa Heresi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Gideoni mwana wa Yoashi akarudi kutoka vitani kwa kupitia Mwinuko wa Heresi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha huyo Gideoni mwana wa Yoashi akarudi kutoka vitani, kutoka kwenye makweleo ya Heresi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, Gideoni, mwana wa Yoashi, akarudi kutoka vitani akipitia kwenye mteremko wa Heresi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Gideoni, mwana wa Yoasi, alipotoka vitani, arudi, akashika njia ya juu ipitayo Heresi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha huyo Gideoni mwana wa Yoashi akarudi kutoka vitani, kutoka kwenye makweleo ya Heresi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Gideoni mwana wa Yoasi, akarudi kutoka katika vita akipitia kwenye muteremuko wa Heresi.