Judges 8:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vilevile akaubomoa mnara wa Penueli na kuwaua wakazi wa mji huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia akaubomoa mnara wa Penieli na kuwaua wanaume wa huo mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akaupomosha mnara wa Penieli, na kuwaua watu wa mji huo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vilevile akaubomoa mnara wa Penueli na kuwaua wakazi wa mji huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia akaubomoa mnara wa Penieli na kuwaua watu wa mji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia akaubomoa mnara wa Penieli na kuwaua watu wa mji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akaubomoa mnara wa Penieli, na kuwaua watu wa mji huo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vilevile akaubomoa mnara wa Penueli na kuwaua wakazi wa mji huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaubomoa mnara wa Penueli, nao watu wa mji huu akawaua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akaupomosha mnara wa Penieli, na kuwaua watu wa mji huo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile akaubomoa munara wa Penueli na kuwaua wakaaji wa muji ule.