Judges 8:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akawaambia, “Hao walikuwa ndugu zangu, wana wa mama yangu mzazi. Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, kama msingewaua, hata mimi nisingewaua.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Gideoni akajibu, “Hao walikuwa ndugu zangu, wana wa mama yangu hasa. Hakika kama Mwenyezi Mungu aishivyo, kama mngekuwa mmewaacha hai, mimi nisingewaua ninyi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akasema, Watu hao walikuwa ndugu zangu, wana wa mamaangu mimi; kama yeye Bwana alivyo hai, kwamba mliwaokoa hai watu hao, mimi nisingewaua ninyi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akawaambia, “Hao walikuwa ndugu zangu, wana wa mama yangu mzazi. Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, kama msingewaua, hata mimi nisingewaua.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Gideoni akajibu, “Hao walikuwa ndugu zangu, wana wa mama yangu hasa. Hakika kama aishivyo BWANA, kama mngekuwa mmewaacha hai, mimi nisingewaua ninyi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Gideoni akajibu, “Hao walikuwa ndugu zangu, wana wa mama yangu hasa. Hakika kama aishivyo bwana, kama mngekuwa mmewaacha hai, mimi nisingewaua ninyi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akasema, Watu hao walikuwa ndugu zangu, wana wa mama yangu; kama yeye BWANA aishivyo, kama mngaliwaokoa hai watu hao, nami nisingewaua ninyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akawaambia, “Hao walikuwa ndugu zangu, wana wa mama yangu mzazi. Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, kama msingewaua, hata mimi nisingewaua.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, aliposema: Ndio ndugu zangu, wana wa mama yangu. Hivyo, Bwana alivyo Mwenye uzima, kama mngaliwaacha, wakae, nisingewaua ninyi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akasema, Watu hao walikuwa ndugu zangu, wana wa mamaangu mimi; kama yeye BWANA alivyo hai, kwamba mliwaokoa hai watu hao, mimi nisingewaua ninyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akawaambia: “Hao walikuwa wandugu zangu, wana wa mama yangu muzazi. Kama vile Yawe anavyoishi, kama musingewaua, hata mimi nisingewaua ninyi.”