Judges 8:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wakamjibu, “Tutakupa kwa hiari.” Wakatandaza nguo na kila mmoja akatupa humo vipuli walivyokuwa wameteka nyara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakajibu, “Tutafurahi kuvitoa.” Hivyo wakatanda vazi chini na kila mwanaume akatupia juu yake pete kutoka fungu lake la nyara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakajibu, Tutakupa kwa mioyo. Basi wakatandika nguo chini, wakatia humo kila mtu pete za masikio ya mateka yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wakamjibu, “Tutakupa kwa hiari.” Wakatandaza nguo na kila mmoja akatupa humo vipuli walivyokuwa wameteka nyara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakajibu, “Tutafurahi kuvitoa.” Hivyo wakatanda vazi chini na kila mwanaume akatupia juu yake pete kutoka kwenye fungu lake la nyara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakajibu, “Tutafurahi kuvitoa.” Hivyo wakatanda vazi chini na kila mwanaume akatupia juu yake pete kutoka kwenye fungu lake la nyara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakajibu, Tutakupa kwa moyo mweupe. Basi wakatandika nguo chini, wakatia humo kila mtu herini za mateka yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wakamjibu, “Tutakupa kwa hiari.” Wakatandaza nguo na kila mmoja akatupa humo vipuli walivyokuwa wameteka nyara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakasema: Tutakupa kabisa. Wakatanda nguo zao, wakatupia humo kila mtu mapete yake ya masikioni, aliyoyateka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakajibu, Tutakupa kwa mioyo. Basi wakatandika nguo chini, wakatia humo kila mtu pete za masikio ya mateka yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wakamujibu: “Tutakupa pasipo kunungunika.” Wakatandaza nguo na kila mumoja akatupa pale pete walizokuwa wameteka.