Judges 8:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Gideoni, yaani Yerubaali, mwana wa Yoashi akarudi nyumbani kwake na kukaa huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yerub-Baali mwana wa Yoashi akarudi kwenda kuishi katika nyumba yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha huyo Yerubaali, mwana wa Yoashi, akaenda kukaa katika nyumba yake mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Gideoni, yaani Yerubaali, mwana wa Yoashi akarudi nyumbani kwake na kukaa huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yerub-Baali akarudi kwenda kuishi katika nyumba yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yerub-Baali mwana wa Yoashi akarudi kwenda kuishi katika nyumba yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha huyo Yerubaali, mwana wa Yoashi, akaenda kukaa katika nyumba yake mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Gideoni, yaani Yerubaali, mwana wa Yoashi akarudi nyumbani kwake na kukaa huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yerubaali, mwana wa Yoasi, akaenda zake kukaa nyumbani kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha huyo Yerubaali, mwana wa Yoashi, akaenda kukaa katika nyumba yake mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Gideoni, ni kusema Yerubali mwana wa Yoasi, akarudi kwake na kukaa kule.