Judges 8:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Gideoni alikuwa na watoto wa kiume sabini, maana alioa wanawake wengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alikuwa na wana sabini wa kwake mwenyewe, kwa kuwa alikuwa na wake wengi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Gideoni alikuwa na wana sabini waliozawa na mwili wake; kwa maana alikuwa na wake wengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Gideoni alikuwa na watoto wa kiume sabini, maana alioa wanawake wengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alikuwa na wana sabini wa kwake mwenyewe, kwa kuwa alikuwa na wake wengi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alikuwa na wana sabini wa kwake mwenyewe, kwa kuwa alikuwa na wake wengi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Gideoni alikuwa na wana sabini aliowazaa mwenyewe; kwa maana alikuwa na wake wengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Gideoni alikuwa na watoto wa kiume sabini, maana alioa wanawake wengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye Gideoni akapata wana 70, aliowazaa, kwani alikuwa na wanawake wengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Gideoni alikuwa na wana sabini waliozawa na mwili wake; kwa maana alikuwa na wake wengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Gideoni alikuwa na watoto wanaume makumi saba, maana alioa wanawake wengi.