Judges 8:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alikuwa na suria huko Shekemu ambaye alimzalia mtoto wa kiume, jina lake Abimeleki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Suria wake, aliyekuwa anaishi huko Shekemu, pia alimzalia mwana, akamwita jina Abimeleki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na suria yake aliyekuwako Shekemu, yeye naye akamzalia mwana, naye akamwita jina lake Abimeleki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alikuwa na suria huko Shekemu ambaye alimzalia mtoto wa kiume, jina lake Abimeleki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Suria wake, aliyekuwa anaishi huko Shekemu, pia alimzalia mwana, ambaye alimwita Abimeleki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Suria wake, aliyekuwa anaishi huko Shekemu, pia alimzalia mwana, ambaye alimwita Abimeleki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na suria yake aliyekuwako Shekemu, yeye naye akamzalia mwana, naye akamwita jina lake Abimeleki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alikuwa na suria huko Shekemu ambaye alimzalia mtoto wa kiume, jina lake Abimeleki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata suria aliyekaa Sikemu akamzalia mwana, naye akamwita jina lake Abimeleki (Baba ni Mfalme).
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na suria yake aliyekuwako Shekemu, yeye naye akamzalia mwana, naye akamwita jina lake Abimeleki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alikuwa na habara kule Sekemu ambaye alimuzalia mutoto mwanaume, jina lake Abimeleki.