Judges 8:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli wakamsahau Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, aliyewakomboa kutoka kwa maadui zao wengi waliowazunguka kila upande.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wala hawakumkumbuka Mwenyezi Mungu, Mungu wao, aliyewaokoa kutoka mikononi mwa adui zao wote kutoka kila upande.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani wana wa Israeli hawakumkumbuka Bwana, Mungu wao, ambaye ndiye aliyewaokoa na mikono ya adui zao wote pande zote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli wakamsahau Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, aliyewakomboa kutoka kwa maadui zao wengi waliowazunguka kila upande.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wala hawakumkumbuka BWANA Mungu wao, aliyewaokoa kutoka mikononi mwa adui zao wote kutoka kila upande.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wala hawakumkumbuka bwana Mwenyezi Mungu wao, aliyewaokoa kutoka mikononi mwa adui zao wote kutoka kila upande.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani wana wa Israeli hawakumkumbuka BWANA, Mungu wao, ambaye ndiye aliyewaokoa na mikono ya adui zao wote pande zote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli wakamsahau Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, aliyewakomboa kutoka kwa maadui zao wengi waliowazunguka kila upande.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wao wana wa Isiraeli hawakumkumbuka Bwana Mungu wao aliyewaponya mikononi mwa adui zao wote waliowazunguka,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani wana wa Israeli hawakumkumbuka BWANA, Mungu wao, ambaye ndiye aliyewaokoa na mikono ya adui zao wote pande zote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli wakamusahau Yawe, Mungu wao, aliyewakomboa kutoka kwa waadui zao wengi waliowazunguka kila upande.