Judges 8:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena, hawakuitendea wema jamaa ya Yerubaali yaani Gideoni kwa mema yote aliyoyatenda katika Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia wakashindwa kuitendea mema jamaa ya Yerub-Baali (yaani Gideoni) kwa ajili ya mambo yote mema aliyokuwa amefanyia Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala hawakuifanyia mema nyumba ya Yerubaali, yaani Gideoni, kwa kuyafuata hayo mema yote aliyowafanyia Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena, hawakuitendea wema jamaa ya Yerubaali yaani Gideoni kwa mema yote aliyoyatenda katika Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia wakashindwa kuitendea mema jamaa ya Yerub-Baali (yaani Gideoni) kwa ajili ya mambo yote mema aliyokuwa amefanya kwa ajili yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia wakashindwa kuitendea mema jamaa ya Yerub-Baali (yaani Gideoni) kwa ajili ya mambo yote mema aliyokuwa amefanya kwa ajili yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala hawakuifanyia mema nyumba ya Yerubaali, yaani Gideoni, licha ya hayo mema yote aliyowafanyia Waisraeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena, hawakuitendea wema jamaa ya Yerubaali yaani Gideoni kwa mema yote aliyoyatenda katika Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wala mlango wa Yerubaali, ndiye Gideoni, hawakuutedea mambo ya upole, kwamba wayalipe hayo mema yote, aliyowafanyizia Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala hawakuifanyia mema nyumba ya Yerubaali, yaani Gideoni, kwa kuyafuata hayo mema yote aliyowafanyia Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena, hawakuitendea mema jamaa ya Yerubali, ni kusema Gideoni kwa mema yote aliyoyatenda katika Israeli.