Judges 8:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini viongozi wa Sukothi wakamwuliza, “Kwa nini tuwape mikate nanyi bado hamjamshinda Zeba na Salmuna?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini viongozi wa Sukothi wakasema, “Je, tayari umewakamata Zeba na Salmuna ili tulipatie jeshi lako mikate?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao wakuu wa Sukothi wakasema, Je! Mikono ya Zeba na Salmuna i mkononi mwako sasa, hata sisi tukawape jeshi lako mikate?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini viongozi wa Sukothi wakamwuliza, “Kwa nini tuwape mikate nanyi bado hamjamshinda Zeba na Salmuna?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini maafisa wa Sukothi wakasema, “Je, mikono ya Zeba na Salmuna tayari mnayo sasa ili tuweze kulipatia jeshi lako mikate?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini maafisa wa Sukothi wakasema, “Je, mikono ya Zeba na Salmuna tayari mnayo sasa ili tuweze kulipatia jeshi lako mikate?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao wakuu wa Sukothi wakasema, Je! Mikono ya Zeba na Salmuna iko mkononi mwako sasa, hata sisi tukawape jeshi lako mikate?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini viongozi wa Sukothi wakamwuliza, “Kwa nini tuwape mikate nanyi bado hamjamshinda Zeba na Salmuna?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wakuu wa Sukoti wakamwambia: Je? Makonde ya Zeba na ya Salmuna yamo sasa mkononi mwako, tuwape mikate watu wa vikosi vyako?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao wakuu wa Sukothi wakasema, Je! Mikono ya Zeba na Salmuna i mkononi mwako sasa, hata sisi tukawape jeshi lako mikate?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini viongozi wa Sukoti wakamwuliza: “Kwa nini tuwape mikate nanyi hamujamushinda Sadaka na Kivuli?”