Judges 8:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Gideoni akawaambia, “Sawa, lakini Mwenyezi-Mungu atakapowatia Zeba na Salmuna mikononi mwangu, nitaichanachana miili yenu kwa miiba na mbigili za jangwani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Gideoni akajibu, “Kwa ajili ya hilo tu, Mwenyezi Mungu atakapowatia Zeba na Salmuna mkononi mwangu, nitaichana nyama ya miili yenu kwenye miiba ya nyikani na kwenye michongoma.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Gideoni akasema, Kwa sababu hii, hapo Bwana atakapokuwa amewatia Zeba na Salmuna mkononi mwangu, ndipo nitaipura nyama ya miili yenu kwa miiba ya nyikani, na kwa michongoma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Gideoni akawaambia, “Sawa, lakini Mwenyezi-Mungu atakapowatia Zeba na Salmuna mikononi mwangu, nitaichanachana miili yenu kwa miiba na mbigili za jangwani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Gideoni akajibu, “Kwa ajili ya hilo tu, BWANA atakapowatia Zeba na Salmuna mkononi mwangu, nitaichana nyama ya miili yenu kwenye miiba ya nyikani na kwenye michongoma.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Gideoni akajibu, “Kwa ajili ya hilo tu, bwana atakapowatia Zeba na Salmuna mkononi mwangu, nitaichana nyama ya miili yenu kwenye miiba ya nyikani na kwenye michongoma.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Gideoni akasema, Kwa sababu hii, hapo BWANA atakapokuwa amewatia Zeba na Salmuna mkononi mwangu, ndipo nitairarua miili yenu kwa miiba ya nyikani, na kwa michongoma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Gideoni akawaambia, “Sawa, lakini Mwenyezi-Mungu atakapowatia Zeba na Salmuna mikononi mwangu, nitaichanachana miili yenu kwa miiba na mbigili za jangwani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Gideoni akawaambia: Basi; hapo, Bwana atakapomtia Zeba na Salmuna mkononi mwangu, ndipo, nitakapoziponda nyama za miili yenu kwa miiba ya nyikani na kwa mikunju.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Gideoni akasema, Kwa sababu hii, hapo BWANA atakapokuwa amewatia Zeba na Salmuna mkononi mwangu, ndipo nitaipura nyama ya miili yenu kwa miiba ya nyikani, na kwa michongoma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Gideoni akawaambia: “Sawa, lakini Yawe atakapowatia Sadaka na Kivuli katika mikono yangu, nitaichanachana miili yenu kwa miiba na michongoma za jangwa.”