Judges 8:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Gideoni akawaambia, “Nitakaporudi kwa amani nitaubomoa mnara huu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo akawaambia wanaume wa Penieli, “Nitakaporudi kwa ushindi, nitaubomoa mnara huu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akawaambia hao watu wa Penieli nao, akisema, Nitakapokuja tena kwa amani, nitauvunja mnara huu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Gideoni akawaambia, “Nitakaporudi kwa amani nitaubomoa mnara huu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo akawaambia watu wa Penieli, “Nitakaporudi baada ya kushinda, nitaubomoa mnara huu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo akawaambia watu wa Penieli, “Nitakaporudi baada ya kushinda, nitaubomoa mnara huu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akawaambia hao watu wa Penieli nao, akisema, Nitakapokuja tena kwa amani, nitaubomoa mnara huu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Gideoni akawaambia, “Nitakaporudi kwa amani nitaubomoa mnara huu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipowaambia nao watu wa Penueli kwamba: Nitakaporudi salama, nitaubomoa mnara huu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akawaambia hao watu wa Penieli nao, akisema, Nitakapokuja tena kwa amani, nitauvunja mnara huu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Gideoni akawaambia: “Nitakaporudi kwa amani nitaubomoa munara huu.”