Judges 9:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abimeleki, mwana wa Gideoni, akawaendea ndugu na wana wote wa kabila za mama yake huko Shekemu, akawaambia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku moja Abimeleki mwana wa Yerub-Baali akaenda kwa ndugu za mama yake huko Shekemu, akawaambia wao na ukoo wote wa mama yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Abimeleki, mwana wa Yerubaali, akaenda Shekemu kwa ndugu za mama yake, akanena nao, na wote waliokuwa wa nyumba ya baba ya mama yake, akasema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abimeleki, mwana wa Gideoni, akawaendea ndugu na wana wote wa kabila za mama yake huko Shekemu, akawaambia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku moja Abimeleki mwana wa Yerub-Baali akaenda kwa ndugu wa mama yake huko Shekemu na kuwaambia yeye na ukoo wote wa mama yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku moja Abimeleki mwana wa Yerub-Baali akaenda kwa ndugu ya mama yake huko Shekemu na kuwaambia yeye na ukoo wote wa mama yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abimeleki, mwana wa Yerubaali, akaenda Shekemu kwa ndugu za mama yake, akanena nao, na wote waliokuwa wa nyumba ya baba ya mama yake, akasema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abimeleki, mwana wa Gideoni, akawaendea ndugu na wana wote wa kabila za mama yake huko Shekemu, akawaambia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Abimeleki, mwana wa Yerubaali, akaenda Sikemu kwa ndugu za mama yake, akawaambia wao nao wote walio wa ukoo wa mlango wa baba ya mama yake kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Abimeleki, mwana wa Yerubaali, akaenda Shekemu kwa ndugu za mama yake, akanena nao, na wote waliokuwa wa nyumba ya baba ya mama yake, akasema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abimeleki mwana wa Gideoni, akawaendea wandugu na wana wote wa kabila za mama yake kule Sekemu, akawaambia: