Judges 9:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mtini ukajibu, ‘Je, mnadhani naweza kuacha shughuli yangu ya kuzalisha matunda mazuri na matamu, niende kujisumbua kuitawala miti?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini mtini ukaijibu, ‘Je, niache kutoa matunda yangu mazuri na matamu, ili nikatawale miti?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini huo mtini ukaiambia, Je! Niuache utamu wangu, na matunda yangu mazuri, niende nikayonge-yonge juu ya miti?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mtini ukajibu, ‘Je, mnadhani naweza kuacha shughuli yangu ya kuzalisha matunda mazuri na matamu, niende kujisumbua kuitawala miti?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini mtini ukaijibu, ‘Je, niache kutoa matunda yangu mazuri na matamu, ili niende nikawe juu ya miti?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini mtini ukaijibu, ‘Je, niache kutoa matunda yangu mazuri na matamu, ili niende nikawe juu ya miti?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini huo mtini ukaiambia, Je! Niuache utamu wangu, na matunda yangu mazuri, niende nikayumbayumbe juu ya miti?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mtini ukajibu, ‘Je, mnadhani naweza kuacha shughuli yangu ya kuzalisha matunda mazuri na matamu, niende kujisumbua kuitawala miti?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkuyu nao ukaiambia: Niache kuzaa matunda yangu matamu yaliyo mazuri mno? Nitawezaje kwenda kuning'inia juu ya miti?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini huo mtini ukaiambia, Je! Niuache utamu wangu, na matunda yangu mazuri, niende nikayonge-yonge juu ya miti?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini muti wa tini ukajibu: ‘Munazani ninaweza kuacha shuguli yangu ya kuzalisha matunda mazuri na matamu, niende kujisumbua kuitawala miti?’