Judges 9:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwishowe miti yote ikauendea mti wa miiba na kuuambia, ‘Njoo wewe utawale juu yetu.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwishoni miti yote ikauambia mchongoma, ‘Njoo na uwe mfalme wetu.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo hiyo miti yote ikauambia mti wa miiba, Njoo wewe, utawale juu yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwishowe miti yote ikauendea mti wa miiba na kuuambia, ‘Njoo wewe utawale juu yetu.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mwishoni miti yote ikauambia mti wa miiba, ‘Njoo na uwe mfalme wetu.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mwishoni miti yote ikauambia mti wa miiba, ‘Njoo na uwe mfalme wetu.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo hiyo miti yote ikauambia mti wa miiba, Njoo wewe, utawale juu yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwishowe miti yote ikauendea mti wa miiba na kuuambia, ‘Njoo wewe utawale juu yetu.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, miti yote ilipouambia mchongoma: Haya! Wewe ututawale sisi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo hiyo miti yote ikauambia mti wa miiba, Njoo wewe, utawale juu yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mwisho miti yote ikauendea muti wa miiba na kuuambia: ‘Ukuje wewe utawale juu yetu.’