Judges 9:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aghalabu baba yangu alihatarisha maisha yake kwa kuwapigania na kuwakomboa kutoka kwa Wamidiani!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baba yangu aliwapigania na kuhatarisha nafsi yake ili kuwaokoa kutoka mikononi mwa Wamidiani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
(kwa maana baba yangu aliwatetea ninyi, na kuhatirisha uhai wake, na kuwaokoa na mikono ya Midiani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aghalabu baba yangu alihatarisha maisha yake kwa kuwapigania na kuwakomboa kutoka kwa Wamidiani!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kuwa baba yangu aliwapigania ninyi na kuhatarisha nafsi yake na kuwaokoa ninyi kutoka mikononi mwa Wamidiani
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kuwa baba yangu aliwapigania ninyi na kuhatarisha nafsi yake na kuwaokoa ninyi kutoka mikononi mwa Wamidiani
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
(kwa maana baba yangu aliwatetea ninyi, na kuhatarisha uhai wake, na kuwaokoa na mikono ya Wamidiani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aghalabu baba yangu alihatarisha maisha yake kwa kuwapigania na kuwakomboa kutoka kwa Wamidiani!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani baba yangu aliwapigia vita na kujitoa mwenyewe, apate kuwaponya mikononi mwa Wamidiani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
(kwa maana baba yangu aliwatetea ninyi, na kuhatirisha uhai wake, na kuwaokoa na mikono ya Midiani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana baba yangu alihatarisha maisha yake kwa kuwapigania na kuwakomboa kutoka kwa Wamidiani!