Judges 9:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa basi, kama mmetenda hayo kwa nia njema na kwa kumheshimu Yerubaali na jamaa yake, basi, furahini pamoja na Abimeleki, naye afurahi pamoja nanyi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa kweli mmemtendea Yerub-Baali na jamaa yake kwa heshima na uaminifu, basi Abimeleki na awe furaha yenu, nanyi mwe furaha yake pia!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi ikiwa mmemtendea kwa uaminifu na uelekevu Yerubaali na nyumba yake hivi leo, basi furahini ninyi katika huyo Abimeleki, yeye naye na afurahi kwenu ninyi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa basi, kama mmetenda hayo kwa nia njema na kwa kumheshimu Yerubaali na jamaa yake, basi, furahini pamoja na Abimeleki, naye afurahi pamoja nanyi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nanyi kama basi mmemtendea Yerub-Baali na jamaa yake kwa heshima na uaminifu, basi Abimeleki na awe furaha yenu, nanyi mwe furaha yake pia!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nanyi kama basi mmemtendea Yerub-Baali na jamaa yake kwa heshima na uaminifu, basi Abimeleki na awe furaha yenu, nanyi mwe furaha yake pia!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi ikiwa mmemtendea kwa nia njema na uzingativu Yerubaali na nyumba yake hivi leo, basi mfurahieni huyo huyo Abimeleki, yeye naye na awafurahie ninyi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa basi, kama mmetenda hayo kwa nia njema na kwa kumheshimu Yerubaali na jamaa yake, basi, furahini pamoja na Abimeleki, naye afurahi pamoja nanyi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bai, kama mmejitokeza kuwa wenye kweli na welekevu katika mambo haya, mliyomfanyizia leo Yerubaali nao walio wa mlango wake, na mmfurahie Abimeleki, naye na awafurahie ninyi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi ikiwa mmemtendea kwa uaminifu na uelekevu Yerubaali na nyumba yake hivi leo, basi furahini ninyi katika huyo Abimeleki, yeye naye na afurahi kwenu ninyi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa basi, kama mumetenda hayo kwa nia njema na kwa kumuheshimu Yerubali na jamaa yake, basi, mufurahi pamoja na Abimeleki, naye afurahi pamoja nanyi.