Judges 9:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini, kama sivyo, moto na utoke kwa Abimeleki na kuwateketeza wananchi wa Shekemu na Beth-milo, tena moto utoke kwa wananchi wa Shekemu na Beth-milo na kumteketeza Abimeleki.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama sivyo, moto na utoke kwa Abimeleki na uwateketeze, ninyi wenyeji wa Shekemu na Beth-Milo; nao moto utoke kwenu, wenyeji wa Shekemu na Beth-Milo, na umteketeze Abimeleki!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini kwamba sivyo hivyo, basi, moto na utoke katika Abimeleki na kuwateketeza watu wa Shekemu, na jamaa ya Milo; kisha moto na utoke katika hao watu wa Shekemu, na katika jamaa ya Milo, na kumteketeza Abimeleki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini, kama sivyo, moto na utoke kwa Abimeleki na kuwateketeza wananchi wa Shekemu na Beth-milo, tena moto utoke kwa wananchi wa Shekemu na Beth-milo na kumteketeza Abimeleki.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama sivyo, moto na utoke kwa Abimeleki na uwateketeze, ninyi watu wa Shekemu na Beth-Milo, nao moto utoke kwenu, watu wa Shekemu na Beth-Milo umteketeze Abimeleki!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama sivyo, moto na utoke kwa Abimeleki na uwateketeze, ninyi watu wa Shekemu na Beth-Milo, nao moto utoke kwenu, watu wa Shekemu na Beth-Milo umteketeze Abimeleki!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini ikiwa sivyo, moto na utoke katika Abimeleki na kuwateketeza watu wa Shekemu, na jamaa ya Milo; kisha moto na utoke katika hao watu wa Shekemu, na katika jamaa ya Milo, na kumteketeza Abimeleki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini, kama sivyo, moto na utoke kwa Abimeleki na kuwateketeza wananchi wa Shekemu na Beth-milo, tena moto utoke kwa wananchi wa Shekemu na Beth-milo na kumteketeza Abimeleki.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kama sivyo, moto na utoke kwake Abimeleki, uwale wenyeji wa Sikemu nao wakaao bomani! Tena moto na utoke kwao wenyeji wa Sikemu nako kwao wakaao bomani, umle Abimeleki!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini kwamba sivyo hivyo, basi, moto na utoke katika Abimeleki na kuwateketeza watu wa Shekemu, na jamaa ya Milo; kisha moto na utoke katika hao watu wa Shekemu, na katika jamaa ya Milo, na kumteketeza Abimeleki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, kama sivyo, moto utoke kwa Abimeleki na kuwateketeza wanainchi wa Sekemu na Beti-Milo, tena moto utoke kwa wanainchi wa Sekemu na Beti-Milo na kumuteketeza Abimeleki.”