Judges 9:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abimeleki alitawala juu ya Israeli kwa muda wa miaka mitatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Abimeleki kutawala Israeli kwa muda wa miaka mitatu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Abimeleki alitawala juu ya Israeli muda wa miaka mitatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abimeleki alitawala juu ya Israeli kwa muda wa miaka mitatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Abimeleki kutawala Israeli kwa muda wa miaka mitatu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Abimeleki kutawala Israeli kwa muda wa miaka mitatu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Abimeleki alitawala juu ya Israeli kwa muda wa miaka mitatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abimeleki alitawala juu ya Israeli kwa muda wa miaka mitatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Abimeleki alipowatawala Waisiraeli miaka mitatu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Abimeleki alitawala juu ya Israeli muda wa miaka mitatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abimeleki akatawala juu ya Israeli kwa muda wa miaka mitatu.