Judges 9:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndivyo walivyoadhibiwa watu wa Shekemu pamoja na ndugu yao Abimeleki kwa ukatili waliowafanyia wana sabini wa Yerubaali. Adhabu ya mauaji hayo iliwapata maana Abimeleki aliwaua akisaidiwa na hao watu wa Shekemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili lilitendeka ili ule ukatili waliotendewa hao wana sabini wa Yerub-Baali upatilizwe, na damu yao iwe juu ya Abimeleki ndugu yao aliyewaua, na pia iwe juu ya wenyeji wa Shekemu, ambao walimsaidia kuua ndugu zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili kwamba huo udhalimu waliotendewa hao wana sabini wa Yerubaali uje, tena kwamba damu yao iandikwe juu ya Abimeleki ndugu yao, aliyewaua, na juu ya watu wa Shekemu, waliomtia nguvu mikono yake ili awaue hao nduguze.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndivyo walivyoadhibiwa watu wa Shekemu pamoja na ndugu yao Abimeleki kwa ukatili waliowafanyia wana sabini wa Yerubaali. Adhabu ya mauaji hayo iliwapata maana Abimeleki aliwaua akisaidiwa na hao watu wa Shekemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili lilitokea ili ule ukatili waliotendewa hao wana sabini wa Yerub-Baali upatilizwe, na damu yao iwe juu ya Abimeleki ndugu yao aliyewaua, na pia iwe juu ya watu wa Shekemu, ambao walimsaidia kuua ndugu zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili lilitokea ili ule ukatili waliotendewa hao wana sabini wa Yerub-Baali upatilizwe, na damu yao iwe juu ya Abimeleki ndugu yao aliyewaua, na pia iwe juu ya watu wa Shekemu, ambao walimsaidia kuua ndugu zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili kwamba huo udhalimu waliotendewa hao wana sabini wa Yerubaali ulipizwe, ili damu yao iwe juu ya Abimeleki ndugu yao, aliyewaua, na juu ya watu wa Shekemu, waliomtia nguvu mikono yake ili awaue hao nduguze.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndivyo walivyoadhibiwa watu wa Shekemu pamoja na ndugu yao Abimeleki kwa ukatili waliowafanyia wana sabini wa Yerubaali. Adhabu ya mauaji hayo iliwapata maana Abimeleki aliwaua akisaidiwa na hao watu wa Shekemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yakafanyika hayo kwamba makorofi, wale wana 70 wa Yerubaali waliyotendewa, yalipizwe, nazo damu zao zimjie ndugu yao Abimeleki aliyewaua, ziwajie nao wenyeji wa Sikemu walioishupaza mikono yake, apate nguvu za kuwaua ndugu zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili kwamba huo udhalimu waliotendewa hao wana sabini wa Yerubaali uje, tena kwamba damu yao iandikwe juu ya Abimeleki ndugu yao, aliyewaua, na juu ya watu wa Shekemu, waliomtia nguvu mikono yake ili awaue hao nduguze.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndivyo watu wa Sekemu pamoja na ndugu yao Abimeleki walivyoazibiwa kwa sababu waliwatendea kwa ukali wana makumi saba wa Yerubali. Azabu ya mauaji hayo iliwapata maana Abimeleki aliwaua akisaidiwa na hao watu wa Sekemu.