Judges 9:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Gaali, mwana wa Ebedi, akasema, “Abimeleki ni nani? Sisi hapa Shekemu ni watu wa aina gani hata tumtumikie Abimeleki? Gideoni na Zebuli ofisa wake walimtumikia Hamori baba wa Shekemu, lakini kwa nini basi, sisi tumtumikie Abimeleki?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Gaali mwana wa Ebedi akasema, “Abimeleki ni nani, na Shekemu ni nani, hata tumtumikie? Je, yeye si mwana wa Yerub-Baali? Naye Zebuli si ndiye msaidizi wake? Basi watumikieni watu wa Hamori, babaye Shekemu. Kwa nini tumtumikie Abimeleki?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Gaali mwana wa Ebedi akasema, Abimeleki ni nani, na Shekemu ni nani, hata tukamtumikie yeye? Yeye, je! Si mwana wa Yerubaali? Na Zebuli siye akida wake? Haya, ninyi watumikieni hao watu wa Hamori, babaye Shekemu; Lakini sisi je! Tumtumikie kwa sababu gani?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Gaali, mwana wa Ebedi, akasema, “Abimeleki ni nani? Sisi hapa Shekemu ni watu wa aina gani hata tumtumikie Abimeleki? Gideoni na Zebuli ofisa wake walimtumikia Hamori baba wa Shekemu, lakini kwa nini basi, sisi tumtumikie Abimeleki?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Gaali mwana wa Ebedi akasema, “Abimeleki ni nani na Shekemu ni nani, hata tumtumikie? Je, yeye si mwana wa Yerub-Baali? Naye Zebuli si ndiye msaidizi wake? Basi watumikieni watu wa Hamori, babaye Shekemu. Kwa nini tumtumikie Abimeleki?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Gaali mwana wa Ebedi akasema, “Abimeleki ni nani, na Shekemu ni nani, hata tumtumikie? Je, yeye si mwana wa Yerub-Baali? Naye Zebuli si ndiye msaidizi wake? Basi watumikieni watu wa Hamori, babaye Shekemu. Kwa nini tumtumikie Abimeleki?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Gaali mwana wa Ebedi akasema, Abimeleki ni nani, na sisi wa Shekemu ni nani, hata tukamtumikie yeye? Je, huyu mwana wa Yerubaali na Zebuli afisa wake hawakuwatumikia watu wa Hamori babaye Shekemu? Basi, kwa nini tumutumikie?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Gaali, mwana wa Ebedi, akasema, “Abimeleki ni nani? Sisi hapa Shekemu ni watu wa aina gani hata tumtumikie Abimeleki? Gideoni na Zebuli ofisa wake walimtumikia Hamori baba wa Shekemu, lakini kwa nini basi, sisi tumtumikie Abimeleki?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Gali, mwana wa Ebedi, aliposema: Abimeleki ni nani? nasi Wasikemu tu wa nani, tumtumikie? Siye mwana wa Yerubaali? Naye Zebuli siye msimamizi wake? Watumikieni watu wa Hamori aliye baba yao Wasikemu! Kwa nini sisi tumtumikie yeye?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Gaali mwana wa Ebedi akasema, Abimeleki ni nani, na Shekemu ni nani, hata tukamtumikie yeye? Yeye, je! Si mwana wa Yerubaali? Na Zebuli siye akida wake? Haya, ninyi watumikieni hao watu wa Hamori, babaye Shekemu; Lakini sisi je! Tumtumikie kwa sababu gani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Gali mwana wa Ebedi, akasema: “Abimeleki ni nani? Sisi hapa Sekemu ni watu wa aina gani hata tumutumikie Abimeleki? Gideoni na Zebuli jemadari wake walimutumikia Hamori baba wa Sekemu, lakini kwa nini basi, sisi tumutumikie Abimeleki?