Judges 9:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama watu hawa wangekuwa chini yangu, ningemwondoa Abimeleki. Ningemwambia Abimeleki, ‘Ongeza jeshi lako, kisha, njoo hadharani tupigane.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Laiti watu hawa wangekuwa chini ya amri yangu! Basi mimi ningemwondoa huyo Abimeleki. Ningemwambia Abimeleki, ‘Ondoa jeshi lako lote.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Laiti watu hawa wangekuwa chini ya mkono wangu! Hapo basi mimi ningemwondoa huyo Abimeleki. Kisha akamwambia Abimeleki, Haya, ongeza askari zako, utoke nje.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama watu hawa wangekuwa chini yangu, ningemwondoa Abimeleki. Ningemwambia Abimeleki, ‘Ongeza jeshi lako, kisha, njoo hadharani tupigane.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Laiti watu hawa wangekuwa chini ya amri yangu! Basi mimi ningemwondoa huyo Abimeleki. Ningemwambia Abimeleki, ‘Ondoa jeshi lako lote.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Laiti watu hawa wangekuwa chini ya amri yangu! Basi mimi ningemwondoa huyo Abimeleki. Ningemwambia Abimeleki, ‘Ondoa jeshi lako lote.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Laiti watu hawa wangekuwa chini ya mkono wangu! Hapo basi mimi ningemuondoa huyo Abimeleki. Kisha akamwambia Abimeleki, Haya, ongeza jeshi lako, utokeze.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama watu hawa wangekuwa chini yangu, ningemwondoa Abimeleki. Ningemwambia Abimeleki, ‘Ongeza jeshi lako, kisha, njoo hadharani tupigane.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama mtu angewatia watu hawa mkononi mwangu, ningemwondoa Abimeleki. Kisha akamwambia Abimeleki: Haya! Ongeza vikosi vyako, utoke!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Laiti watu hawa wangekuwa chini ya mkono wangu! Hapo basi mimi ningemwondoa huyo Abimeleki. Kisha akamwambia Abimeleki, Haya, ongeza askari zako, utoke nje.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama watu hawa wangekuwa chini yangu, ningemwondoa Abimeleki. Ningemwambia Abimeleki: ‘Ongeza jeshi lako, kisha, ukuje mbele ya watu wote tupigane.’ ”