Judges 9:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndugu za mama yake wakatangaza maneno haya kote Shekemu kwa niaba yake, na watu wote wa Shekemu wakaamua kumfuata maana alikuwa ndugu yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndugu za mama yake walipowaeleza watu wote wa Shekemu, wakaelekea kumkubali Abimeleki, kwa kuwa walisema, “Yeye ni ndugu yetu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao ndugu za mama yake wakanena habari zake masikioni mwa hao watu wote wa Shekemu maneno hayo yote; na mioyo yao ikaelekea kumwandama Abimeleki; kwa kuwa walisema, Huyu ni ndugu yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndugu za mama yake wakatangaza maneno haya kote Shekemu kwa niaba yake, na watu wote wa Shekemu wakaamua kumfuata maana alikuwa ndugu yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndugu za mama yake walipowaeleza watu wote wa Shekemu, wakaelekea kumkubali Abimeleki kwa kuwa walisema, “yeye ni ndugu yetu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndugu za mama yake walipowaeleza watu wote wa Shekemu, wakaelekea kumkubali Abimeleki, kwa kuwa walisema, “Yeye ni ndugu yetu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao ndugu za mama yake wakanena habari zake masikioni mwa hao watu wote wa Shekemu maneno hayo yote; na mioyo yao ikaelekea kumwandama Abimeleki; kwa kuwa walisema, Huyu ni ndugu yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndugu za mama yake wakatangaza maneno haya kote Shekemu kwa niaba yake, na watu wote wa Shekemu wakaamua kumfuata maana alikuwa ndugu yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao ndugu za mama yake walipoyasema maneno hayo yote kwa ajili yake masikioni mwao wenyeji wote wa Sikemu, mioyo yao ikageuka kumfuata Abimeleki, kwani walisema: Yeye ni ndugu yetu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao ndugu za mama yake wakanena habari zake masikioni mwa hao watu wote wa Shekemu maneno hayo yote; na mioyo yao ikaelekea kumwandama Abimeleki; kwa kuwa walisema, Huyu ni ndugu yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wandugu za mama yake wakatangaza maneno popote kule Sekemu kwa jina lake, na watu wote wa Sekemu wakaamua kumufuata maana alikuwa ndugu yao.