Judges 9:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zebuluni, mtawala wa mji, aliposikia maneno ya Gaali mwana wa Ebedi, alikasirika sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zebuli aliyekuwa mtawala wa mji aliposikia aliyosema Gaali mwana wa Ebedi, akakasirika sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hapo Zebuli, aliyekuwa liwali wa mji, alipoyasikia hayo maneno ya Gaali mwana wa Ebedi, hasira zake zikamwaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zebuluni, mtawala wa mji, aliposikia maneno ya Gaali mwana wa Ebedi, alikasirika sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zebuli aliyekuwa mtawala wa mji aliposikia aliyosema Gaali mwana wa Ebedi, akakasirika sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zebuli aliyekuwa mtawala wa mji aliposikia aliyosema Gaali mwana wa Ebedi, akakasirika sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi hapo Zebuli, aliyekuwa mkuu wa mji, alipoyasikia hayo maneno ya Gaali mwana wa Ebedi, hasira yake ikawaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zebuluni, mtawala wa mji, aliposikia maneno ya Gaali mwana wa Ebedi, alikasirika sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Zebuli, mkuu wa mji, alipoyasikia haya maneno ya Gali, mwana wa Ebedi, makali yake yakawaka moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hapo Zebuli, aliyekuwa liwali wa mji, alipoyasikia hayo maneno ya Gaali mwana wa Ebedi, hasira zake zikamwaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zebuli, mutawala wa muji, aliposikia maneno ya Gali mwana wa Ebedi, akakasirika sana.