Judges 9:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi akampelekea ujumbe Abimeleki huko Torma akasema, “Gaali, mwana wa Ebedi, pamoja na ndugu zake wameingia mjini Shekemu na kuchochea uasi dhidi yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatuma wajumbe waende kwa Abimeleki kwa siri, na kusema, “Gaali mwana wa Ebedi na ndugu zake wamekuja Shekemu, na wanauchochea mji huu kinyume chako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akatuma wajumbe waende kwa Abimeleki kwa siri, akasema, Tazama, Gaali, mwana wa Ebedi, na ndugu zake wamekuja Shekemu; na tazama waufitinisha mji huu kinyume chako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi akampelekea ujumbe Abimeleki huko Torma akasema, “Gaali, mwana wa Ebedi, pamoja na ndugu zake wameingia mjini Shekemu na kuchochea uasi dhidi yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatuma ujumbe uende kwa Abimeleki kwa siri na kusema, “Gaali mwana wa Ebedi na ndugu zake wamekuja Shekemu, na wanauchochea mji huu kinyume chako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatuma ujumbe uende kwa Abimeleki kwa siri na kusema, “Gaali mwana wa Ebedi na ndugu zake wamekuja Shekemu, na wanauchochea mji huu kinyume chako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akatuma wajumbe waende kwa Abimeleki kwa siri, akasema, Tazama, Gaali, mwana wa Ebedi, na ndugu zake wamekuja Shekemu; na wanaufitinisha mji huu kinyume chako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi akampelekea ujumbe Abimeleki huko Torma akasema, “Gaali, mwana wa Ebedi, pamoja na ndugu zake wameingia mjini Shekemu na kuchochea uasi dhidi yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa ujanja wake akatuma wajumbe kwenda kwa Abimeleki kwamba: Tazama, Gali, mwana wa Ebedi, na ndugu zake wamekuja Sikemu, nao hujulikana, ya kuwa wanawahimiza watu wa mji, wakukatae.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akatuma wajumbe waende kwa Abimeleki kwa siri, akasema, Tazama, Gaali, mwana wa Ebedi, na ndugu zake wamekuja Shekemu; na tazama waufitinisha mji huu kinyume chako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi akamupelekea Abimeleki ujumbe kule Aruma akasema: “Gali, mwana wa Ebedi, pamoja na wandugu zake wameingia katika muji wa Sekemu na kuchochea uasi juu yako.