Judges 9:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, rudi wewe na watu ulio nao, wakati wa usiku, uvizie mashambani karibu na mji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa basi, usiku huu wewe uondoke na watu wako ili mje kuwavizia mashambani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa, inuka wewe, usiku, wewe na watu walio pamoja nawe, mvizie mashambani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, rudi wewe na watu ulio nao, wakati wa usiku, uvizie mashambani karibu na mji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa, basi, usiku huu wewe uondoke na watu wako ili mje kuwavizia mashambani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa, basi, usiku huu wewe uondoke na watu wako ili mje kuwavizia mashambani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa, inuka wewe, usiku, wewe na watu walio pamoja nawe, mvizie mashambani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, rudi wewe na watu ulio nao, wakati wa usiku, uvizie mashambani karibu na mji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa ondoka usiku huu, wewe na watu wako walioko kwako, uvizie shambani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa, inuka wewe, usiku, wewe na watu walio pamoja nawe, mvizie mashambani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, rudi wewe na watu unaokuwa nao, wakati wa usiku, uvizie katika mashamba karibu na muji.