Judges 9:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abimeleki aliondoka na watu waliokuwa pamoja naye kuja Shekemu wakati wa usiku. Aliwagawa watu wake katika vikosi vinne na kuvizia huko karibu na mji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Abimeleki pamoja na jeshi lake lote wakaondoka usiku na kujificha karibu na Shekemu wakiwa vikosi vinne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Abimeleki akainuka na watu wote waliokuwa pamoja naye, usiku nao wakauvizia Shekemu kwa vikosi vinne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abimeleki aliondoka na watu waliokuwa pamoja naye kuja Shekemu wakati wa usiku. Aliwagawa watu wake katika vikosi vinne na kuvizia huko karibu na mji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Abimeleki pamoja na jeshi lake lote wakaondoka usiku na kujificha karibu na Shekemu wakiwa vikosi vinne.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Abimeleki pamoja na jeshi lake lote wakaondoka usiku na kujificha karibu na Shekemu wakiwa vikosi vinne.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Abimeleki na watu wote waliokuwa pamoja naye wakaondoka usiku na kuuvizia Shekemu kwa vikosi vinne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abimeleki aliondoka na watu waliokuwa pamoja naye kuja Shekemu wakati wa usiku. Aliwagawa watu wake katika vikosi vinne na kuvizia huko karibu na mji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Abimeleki alipoondoka usiku pamoja na watu wote waliokuwa kwake, wakauvizia Sikemu kwa vikosi vinne.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Abimeleki akainuka na watu wote waliokuwa pamoja naye, usiku nao wakauvizia Shekemu kwa vikosi vinne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abimeleki akaondoka na watu waliokuwa pamoja naye kuja Sekemu wakati wa usiku. Aliwagawanya watu wake katika vikundi vine na kuvizia kule karibu na muji.