Judges 9:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Gaali alipomwona akamwambia Zebuli, “Tazama, watu wanashuka kutoka vilele vya mlima.” Zebuli akamwambia, “Wewe unaona vivuli vya milima kana kwamba ni watu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Gaali alipowaona, akamwambia Zebuli, “Tazama, watu wanashuka kutoka vilele vya milima!” Zebuli akajibu, “Wewe unaona vivuli vya milima kana kwamba ni watu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Gaali alipowaona hao watu, akamwambia Zebuli, Tazama, watu washuka kutoka katika vilele vya milima. Zebuli akamwambia, Ni kivuli cha milima unachokiona kama ndio watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Gaali alipomwona akamwambia Zebuli, “Tazama, watu wanashuka kutoka vilele vya mlima.” Zebuli akamwambia, “Wewe unaona vivuli vya milima kana kwamba ni watu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Gaali alipowaona, akamwaambia Zebuli, “Tazama, watu wanashuka kutoka kwenye vilele vya milima!” Zebuli akajibu, “Wewe unaona vivuli vya milima kana kwamba ni watu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Gaali alipowaona, akamwambia Zebuli, “Tazama, watu wanashuka kutoka kwenye vilele vya milima!” Zebuli akajibu, “Wewe unaona vivuli vya milima kana kwamba ni watu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Gaali alipowaona hao watu, akamwambia Zebuli, Tazama, watu wanashuka kutoka katika vilele vya milima. Zebuli akamwambia, Ni kivuli cha milima unachokiona kama mfano wa watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Gaali alipomwona akamwambia Zebuli, “Tazama, watu wanashuka kutoka vilele vya mlima.” Zebuli akamwambia, “Wewe unaona vivuli vya milima kana kwamba ni watu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Gali alipowaona hao watu akamwambia Zebuli: Tazama! Wako watu wanaotelemka toka milimani juu! Lakini Zebuli akamwambia: Vivuli vya milima unaviona kuwa kama watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Gaali alipowaona hao watu, akamwambia Zebuli, Tazama, watu washuka kutoka katika vilele vya milima. Zebuli akamwambia, Ni kivuli cha milima unachokiona kama ndio watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Gali alipowaona, akamwambia Zebuli: “Angalia, watu wanashuka kutoka vilele vya mulima.” Zebuli akamwambia: “Wewe unaona vivuli vya milima sawa vile ni watu.”