Judges 9:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Gaali akasema tena, “Tazama! Watu wanashuka katikati ya nchi na kikosi kingine kinatoka upande wa Mwaloni wa Waaguzi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Gaali akasema tena, “Tazama, watu wanashuka kutoka katikati ya nchi na kikosi kimoja kinakuja kutoka Tabur-Ezeri na kikosi kingine kutoka upande wa mwaloni wa Meonenimu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Gaali akasema mara ya pili, akanena, Angalia, watu washuka katikati ya nchi, na kikosi kimoja kinakuja kwa njia ya mwaloni wa Meonenimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Gaali akasema tena, “Tazama! Watu wanashuka katikati ya nchi na kikosi kingine kinatoka upande wa Mwaloni wa Waaguzi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Gaali akasema tena, “Tazama, watu wanashuka kutoka katikati ya nchi na kikosi kimoja kinakuja kutoka Tabur-Ezeri na kikosi kingine kutoka upande wa Elon-Meonenimu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Gaali akasema tena, “Tazama, watu wanashuka kutoka katikati ya nchi na kikosi kimoja kinakuja kutoka Tabur-Ezeri na kikosi kingine kutoka upande wa Elon-Meonenimu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Gaali akasema mara ya pili, akanena, Angalia, watu washuka katikati ya nchi, na kikosi kimoja kinakuja kwa njia ya mwaloni wa Meonenimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Gaali akasema tena, “Tazama! Watu wanashuka katikati ya nchi na kikosi kingine kinatoka upande wa Mwaloni wa Waaguzi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Gali akasema tena kwamba: Tazama! Ni watu wanaotelemka kutoka katikati ya nchi hii, nacho kikosi kimoja kinatoka na kushika njia ya kwenda kenye mvule, wanakotambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Gaali akasema mara ya pili, akanena, Angalia, watu washuka katikati ya nchi, na kikosi kimoja kinakuja kwa njia ya mwaloni wa Meonenimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Gali akasema tena: “Angalia! Watu wanashuka katikati ya inchi na kikundi kingine kinatoka upande wa muti wa Mwalo wa Waaguzi.”