Judges 9:39 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Gaali akatoka akiwaongoza watu wa Shekemu na kupigana na Abimeleki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Gaali akawaongoza wenyeji wa Shekemu kupigana na Abimeleki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Gaali akatoka nje mbele ya watu wa Shekemu, akapigana na Abimeleki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Gaali akatoka akiwaongoza watu wa Shekemu na kupigana na Abimeleki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Gaali akatoka akawaongoza watu wa Shekemu kupigana na Abimeleki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Gaali akatoka akawaongoza watu wa Shekemu kupigana na Abimeleki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Gaali akatokeza mbele ya watu wa Shekemu, akapigana na Abimeleki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Gaali akatoka akiwaongoza watu wa Shekemu na kupigana na Abimeleki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Gali alipotoka akiwatangulia wenyeji wa Sikemu, akapigana na Abimeleki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Gaali akatoka nje mbele ya watu wa Shekemu, akapigana na Abimeleki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Gali akatoka akiwaongoza watu wa Sekemu na kupigana na Abimeleki.