Judges 9:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakampa vipande sabini vya fedha vilivyokuwa kwenye nyumba ya Baal-berithi ambavyo alivitumia kuwakodi watu wakorofi na watu ovyoovyo ili wamfuate.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakampa shekeli sabini za fedha kutoka hekalu la Baal-Berithi, naye Abimeleki akazitumia kuajiri watu ovyo na wasiojali, wakawa ndio wafuasi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakampa vipande vya fedha sabini vilivyotoka katika nyumba ya Baal-berithi, na kwa fedha hizo Abimeleki akaajiri watu wapuuzi mabaradhuli, wafuatane naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakampa vipande sabini vya fedha vilivyokuwa kwenye nyumba ya Baal-berithi ambavyo alivitumia kuwakodi watu wakorofi na watu ovyoovyo ili wamfuate.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakampa shekeli sabini za fedha kutoka katika hekalu la Baal-Berithi, naye Abimeleki akaitumia kuajiri watu ovyo wasiojali, wakawa ndio wafuasi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakampa shekeli sabini za fedha kutoka hekalu la Baal-Berithi, naye Abimeleki akaitumia kuajiri watu ovyo wasiojali, wakawa ndio wafuasi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakampa vipande vya fedha sabini vilivyotoka katika nyumba ya Baal-berithi, na kwa fedha hizo Abimeleki akaajiri watu wapuuzi mabaradhuli, wafuatane naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakampa vipande sabini vya fedha vilivyokuwa kwenye nyumba ya Baal-berithi ambavyo alivitumia kuwakodi watu wakorofi na watu ovyoovyo ili wamfuate.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakampa fedha 70, walizozitoa nyumbani mwa Baali la agano, naye Abimeleki akazitumia kujipatia watu wenye ukorofi wasiokuwa na kitu cho chote, wafuatane naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakampa vipande vya fedha sabini vilivyotoka katika nyumba ya Baal-berithi, na kwa fedha hizo Abimeleki akaajiri watu wapuuzi mabaradhuli, wafuatane naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamupa vikoroti makumi saba vya feza vilivyokuwa kwenye nyumba ya Bali-Beriti ambavyo alivitumia kwa kulipa watu wakorofi na watu ovyoovyo kusudi wamufuate.