Judges 9:40 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Gaali akashindwa na kukimbia, huku anafuatiwa na Abimeleki. Watu wengi walijeruhiwa na kuanguka njiani hadi kwenye lango la mji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abimeleki akamfukuza, naye akatoroka. Nao watu wengi wakaanguka njia yote hadi kwenye ingilio la lango, wakiwa wamejeruhiwa katika kule kutoroka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Abimeleki akamkimbiza, naye akakimbia mbele yake, wengi wakaanguka waliojeruhiwa hata kufikilia maingilio ya hilo lango.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Gaali akashindwa na kukimbia, huku anafuatiwa na Abimeleki. Watu wengi walijeruhiwa na kuanguka njiani hadi kwenye lango la mji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abimeleki akamfukuza, watu wengi wakajeruhiwa katika kukimbia huko, njia nzima hadi kwenye ingilio la lango.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abimeleki akamfukuza, watu wengi wakajeruhiwa katika kukimbia huko, njia nzima hadi kwenye ingilio la lango.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Abimeleki akamkimbiza, naye akakimbia mbele yake, wengi walijeruhiwa na kuanguka hadi kufikia maingilio ya lango la mji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Gaali akashindwa na kukimbia, huku anafuatiwa na Abimeleki. Watu wengi walijeruhiwa na kuanguka njiani hadi kwenye lango la mji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Abimeleki akamkimbiza, naye akamkimbia, wakaumizwa watu wengi, wakaanguka hapohapo mpaka pa kuingia langoni penye mji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Abimeleki akamkimbiza, naye akakimbia mbele yake, wengi wakaanguka waliojeruhiwa hata kufikilia maingilio ya hilo lango.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Gali akakimbia mbele yake. Naye Abimeleki akamufuatilia. Watu wengi waliumizwa na kuanguka katika njia mpaka kwenye mulango wa muji.