Judges 9:41 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abimeleki akakaa Aruma na Zebuli akamfukuza Gaali na ndugu zake kutoka mji wa Shekemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abimeleki akaishi Aruma, naye Zebuli akawafukuza Gaali na ndugu zake watoke Shekemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Abimeleki akakaa Aruma; naye Zebuli akawatoa Gaali na ndugu zake, wasikae katika Shekemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abimeleki akakaa Aruma na Zebuli akamfukuza Gaali na ndugu zake kutoka mji wa Shekemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abimeleki akakaa Aruma, naye Zebuli akawafukuza Gaali na ndugu zake watoke Shekemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abimeleki akakaa Aruma, naye Zebuli akawafukuza Gaali na ndugu zake watoke Shekemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abimeleki akakaa Aruma; naye Zebuli akawatoa Gaali na ndugu zake, wasikae katika Shekemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abimeleki akakaa Aruma na Zebuli akamfukuza Gaali na ndugu zake kutoka mji wa Shekemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Abimeleki akakaa Aruma, lakini Zebuli akamfukuza Gali na ndugu zake, wasikae Sikemu tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Abimeleki akakaa Aruma; naye Zebuli akawatoa Gaali na ndugu zake, wasikae katika Shekemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abimeleki akakaa Aruma na Zebuli akamufukuza Gali na wandugu zake kutoka katika muji wa Sekemu.