Judges 9:42 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku iliyofuata, Abimeleki alipata habari kwamba watu wa Shekemu wametoka mjini na kwenda mashambani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kesho yake watu wa Shekemu wakatoka wakaenda mashambani, Abimeleki akaambiwa jambo hilo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa siku ya pili yake, watu wakatoka waende mashambani; naye Abimeleki aliambiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku iliyofuata, Abimeleki alipata habari kwamba watu wa Shekemu wametoka mjini na kwenda mashambani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kesho yake watu wa Shekemu wakatoka wakaenda mashambani, Abimeleki akaambiwa juu ya jambo hili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kesho yake watu wa Shekemu wakatoka wakaenda mashambani, Abimeleki akaambiwa juu ya jambo hili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa siku ya pili yake, watu wakatoka waende mashambani; naye Abimeleki aliambiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku iliyofuata, Abimeleki alipata habari kwamba watu wa Shekemu wametoka mjini na kwenda mashambani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kesho yake watu walipokwenda shambani, naye Abimeleki alipopata habari,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa siku ya pili yake, watu wakatoka waende mashambani; naye Abimeleki aliambiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku iliyofuata, Abimeleki akapata habari kwamba watu wa Sekemu wametoka katika muji na kwenda katika mashamba.