Judges 9:44 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abimeleki na kundi lake wakaenda mbio kwenda kulinda lango la mji. Makundi yake mawili mengine yaliwashambulia wale waliokuwa mashambani na kuwaua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abimeleki pamoja na vikosi vyake wakaharakisha kwenda mbele kwenye nafasi iliyokuwa katika ingilio la lango la mji. Vikosi viwili vikawashambulia wale waliokuwa mashambani, na kuwaua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Abimeleki, na vile vikosi vilivyokuwa pamoja naye, wakafuliza kwenda mbele, wakasimama penye maingilio ya lango la mji, na vile vikosi viwili vikawarukia hao wote waliokuwa mashambani, na kuwapiga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abimeleki na kundi lake wakaenda mbio kwenda kulinda lango la mji. Makundi yake mawili mengine yaliwashambulia wale waliokuwa mashambani na kuwaua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abimeleki pamoja na vile vikosi wakaharakisha kwenda mbele kwenye nafasi, mahali pa ingilio la lango la mji. Vile vikosi viwili vikawawahi wale waliokuwa mashambani na kuwaua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abimeleki pamoja na vile vikosi wakaharakisha kwenda mbele kwenye nafasi, mahali pa ingilio la lango la mji. Vile vikosi viwili vikawawahi wale waliokuwa mashambani na kuwaua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abimeleki, na vile vikosi vilivyokuwa pamoja naye, wakafululiza, wakasimama penye maingilio ya lango la mji, na vile vikosi viwili vikawarukia hao wote waliokuwa mashambani, na kuwaua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abimeleki na kundi lake wakaenda mbio kwenda kulinda lango la mji. Makundi yake mawili mengine yaliwashambulia wale waliokuwa mashambani na kuwaua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mara Abimeleki na kikosi kilichokuwa naye wakavuka kwenda mbele, wakasimama pa kuingia langoni penye mji, navyo vikosi viwili vikawarukia wote waliokuwako mashambani, vikawaua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Abimeleki, na vile vikosi vilivyokuwa pamoja naye, wakafuliza kwenda mbele, wakasimama penye maingilio ya lango la mji, na vile vikosi viwili vikawarukia hao wote waliokuwa mashambani, na kuwapiga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abimeleki na kundi lake wakaenda mbio kwenda kulinda mulango wa muji. Makundi yake mawili mengine yaliwashambulia wale waliokuwa katika mashamba na kuwaua.