Judges 9:45 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abimeleki alipigana na wakazi wa mji huo siku nzima. Akauteka mji na kuwaua watu wote waliokuwamo humo. Akauteketeza mji kwa moto na kuutia chumvi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku hiyo nzima Abimeleki akazidisha mashambulizi yake dhidi ya mji hadi akawa ameuteka na kuwaua watu wa mji huo. Kisha akauangamiza mji na kusambaza chumvi juu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Abimeleki akapigana na huo mji mchana kutwa; akautwaa mji, akawaua watu waliokuwamo ndani yake; kisha akaupomosha mji, na kuutia chumvi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abimeleki alipigana na wakazi wa mji huo siku nzima. Akauteka mji na kuwaua watu wote waliokuwamo humo. Akauteketeza mji kwa moto na kuutia chumvi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku hiyo nzima Abimeleki akazidisha mashambulizi yake dhidi ya mji hadi akawa ameuteka na kuwaua watu wa huo mji. Kisha akauangamiza mji na kusambaza chumvi juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku hiyo nzima Abimeleki akazidisha mashambulizi yake dhidi ya mji hadi akawa ameuteka na kuwaua watu wa huo mji. Kisha akauangamiza mji na kusambaza chumvi juu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abimeleki akapigana na huo mji mchana kutwa; akautwaa mji, akawaua watu waliokuwamo ndani yake; kisha akauteketeza mji, na kuutia chumvi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abimeleki alipigana na wakazi wa mji huo siku nzima. Akauteka mji na kuwaua watu wote waliokuwamo humo. Akauteketeza mji kwa moto na kuutia chumvi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Abimeleki alipopigana nao wa mjini mchana kutwa, akauteka huo mji, nao watu waliokuwamo akawaua, nao mji akaubomoa kabisa, kisha akaumwagia chumvi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Abimeleki akapigana na huo mji mchana kutwa; akautwaa mji, akawaua watu waliokuwamo ndani yake; kisha akaupomosha mji, na kuutia chumvi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abimeleki akapigana na wakaaji wa muji ule siku nzima. Akauteka muji na kuwaua watu wote waliokuwa humo. Akauteketeza muji kwa moto na kuutia chumvi.